Hebrews 1:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Vitu hivi vitatoweka, lakini wewe utaendelea kuwepo. Vyote vitachakaa kama mavazi makuu kuu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizo zitaangamia, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo zitaangamia, lakini wewe unafuliza kuwapo. Kweli, zote zitachakaa kama nguo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vitatoweka lakini wewe utabaki. Vitachakaa kama nguo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hizi zitaharibika, na wewe hukaa; hizi zitachakaa kama nguo,