Hebrews 1:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ni kwa malaika yupi Mungu aliwahi kusema, “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako”?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na Mungu hakuwahi kusema haya kwa malaika: “Ukae mkono wangu wa kuume hadi nitakapowaweka adui zako chini ya uwezo wako.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mungu amepata kumwambia wakati wo wote, “Wewe keti mkono wangu wa kuume mpaka nitakapowaweka adui zako chini ya nyayo zako”?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ni kwa malaika yupi ambaye Mwenyezi Mungu amepata kumwambia wakati wowote, “Keti mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako”?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wowote, Uketi mkono wa kulia Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yuko malaika, aliyemwambia po pote: keti kuumeni kwangu, mpaka niwaweke adui zako chini miguuni pako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu hakumwambia hata mara moja mumoja wa wamalaika wake hivi: “Ikaa na mamlaka kwa kuume kwangu, mpaka nitakapowaweka waadui zako chini ya miguu yako.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Je! yuko malaika aliyeambiwa nae maneno haya wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume hatta nitakapoweka adui zako chiui ya nyayo zako?