Hebrews 1:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Ndiyo maana Mungu, Mungu wako, amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa kuliko wenzako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umependa haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako kwa kukupaka mafuta ya furaha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unapenda kilicho sahihi na kuchukia kilicho na makosa. Hivyo Mungu, Mungu wako, amekuchagua wewe, na amekupa heshima na furaha zaidi kupita yeyote aliye kama wewe.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Ndiyo maana Mungu, Mungu wako amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa zaidi kuliko wenzako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Ndiyo maana Mungu, Mungu wako, amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa kuliko wenzako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umependa haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako kwa kukupaka mafuta ya furaha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umependa haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu Mwenyezi, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako kwa kukupaka mafuta ya furaha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wapenda uadilifu na kuchukia uovu. Ndiyo maana Mungu, Mungu wako, amekuweka wakfu na kukumiminia furaha kubwa kuliko wenzako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe ulipenda wongofu, ukachukia upotovu. Kwa hiyo Mungu aliye Mungu wako alikupaka mafuta ya kufurahisha kuliko yale ya wenzio.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unapenda haki na kuchukia uovu. Ni kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekusimika, akikupakaa mafuta, akikupatia heshima na kukuinua juu kuliko wenzako wote.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Umependa haki, umechukia maasi: kwa sababu hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, mafuta ya shangwe kupita wenzako.