Hebrews 10:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
anangoja maadui zake wafanywe kama kibao chini ya miguu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangu wakati huo anangoja hadi adui zake wawekwe chini ya miguu yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tangu hapo akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa Kristo anawasubiria hapo adui zake wawekwe chini ya mamlaka yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huko anangoja mpaka adui zake watakapowekwa kama kibao chini ya miguu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
anangoja maadui zake wafanywe kama kibao chini ya miguu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tangu hapo akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
anangoja maadui zake wafanywe kama kibao chini ya miguu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa anangoja tu, adui zake wawekwe chini miguuni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tangu hapo akingojea hata adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kule anangoja sasa mpaka waadui zake wote watiwe chini ya miguu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akingojea hatta adui zake wawekwe kuwa chini ya miguu yake.