Hebrews 10:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kwa tambiko yake moja, amewafanya kuwa wakamilifu milele wote wale wanaotakaswa dhambi zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa sadaka moja Kristo akawakamilisha watu wake milele. Ndio wale wanaotakaswa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, kwa dhabihu yake moja tu, amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wanaotakaswa dhambi zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kwa tambiko yake moja, amewafanya kuwa wakamilifu milele wote wale wanaotakaswa dhambi zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kwa tambiko yake moja, amewafanya kuwa wakamilifu milele wote wale wanaotakaswa dhambi zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa kukitoa kile kipaji chake kimoja cha tambiko amewapa wenye kutakaswa utimilifu ulio wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa toleo moja amewakamilisha hata milele hao wanaotakaswa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana kwa njia ya sadaka moja aliyotoa, amewafanya wale aliowatakasa kuwa wakamilifu hata milele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana kwa toleo moja amewakamilisha hatta milele wanaotakaswa.