Hebrews 10:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi haya yaliposamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayohitajika kwa ajili ya dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na baada ya kila kitu kusamehewa, hakuna tena haja ya sadaka ili kuziondoa dhambi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa dhabihu za kuondoa dhambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yo yote inayotolewa kwa ajili ya dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa tambiko za kuondoa dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, hayo yanapoondolewa, hapo hapana tena kutoa kipaji cha tambiko kwa ajili ya ukosaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, ondoleo la hayo likiwapo, hapana toleo tena kwa ajili ya dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakati zambi zinaposamehewa, hakuna tena hitaji la kutoa sadaka kwa ajili ya usamehe wa zambi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi ondoleo la baya lilipo, hapana toleo tena kwa dhambi.