Hebrews 10:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama hao watu wanaomwabudu Mungu wangekuwa wametakaswa dhambi zao kweli, hawangejisikia tena kuwa na dhambi, na tambiko hizo zote zingekoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama dhabihu hizo zingeweza kuwakamilisha, hazingeendelea kutolewa tena. Kwa kuwa hao waabuduo wangekuwa wametakaswa mara moja tu, wala wasingejiona tena kuwa na dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama sheria ingeweza kuwakamilisha watu, sadaka hizi zingekuwa zimekoma. Tayari wao wangekuwa safi kutoka katika dhambi, na bado wasingehukumiwa moyoni mwao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama hao watu wanaomwabudu Mungu wangekuwa wametakaswa dhambi zao kweli, hawangejisikia tena kuwa na dhambi, na dhabihu hizo zote zingekoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama hao watu wanaomwabudu Mungu wangekuwa wametakaswa dhambi zao kweli, hawangejisikia tena kuwa na dhambi, na tambiko hizo zote zingekoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama dhabihu hizo zingeweza kuwakamilisha, hazingeendelea kutolewa tena. Kwa kuwa hao waabuduo wangekuwa wametakaswa mara moja tu, wala wasingejiona tena kuwa na dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama dhabihu hizo zingeweza kuwakamilisha, hazingeendelea kutolewa tena. Kwa kuwa hao waabuduo wangekuwa wametakaswa mara moja tu, wala wasingejiona tena kuwa na dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama hao watu wanaomwabudu Mungu wangekuwa wametakaswa dhambi zao kweli, hawangejisikia tena kuwa na dhambi, na tambiko hizo zote zingekoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Hao wenye kutambika wakiisha kutakaswa mara moja, kama wasingejua mioyoni kwamba: Makosa yako, hawangeacha kupeleka vipaji vya tambiko?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wanaomwabudu Mungu kwa njia ile wangetakaswa kabisa kwa mara moja tu, nayo zamiri yao isingewahukumu tena hata kidogo juu ya zambi, basi sadaka zile hazingeacha kutolewa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama wangeweza, wangeacha kuzitoa; kwa maana waabuduo, walipokwisha kusatishwa kwa marra moja, wasingejiona tena kuwa na dhamhi?