Hebrews 10:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tuzingatie kabisa tumaini letu tunalokiri, maana Mungu aliyefanya ahadi zake ni mwaminifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mlishike sana ungamo la tumaini letu, lisigeuke; maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunapaswa kuling'ang'ania tumaini tulilonalo, bila kusitasita kuwaeleza watu juu yake. Tunaweza kumwamini Mungu kuwa atatimiza aliyoahidi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tushikilie imara tumaini lile tunalokiri, maana Mungu aliyefanya ahadi zake ni mwaminifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tuzingatie kabisa tumaini letu tunalokiri, maana Mungu aliyefanya ahadi zake ni mwaminifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tushike kwa uthabiti lile tumaini la ukiri wetu bila kuyumbayumba, kwa maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mlishike sana ungamo la tumaini letu, lisigeuke; maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tuzingatie kabisa tumaini letu tunalokiri, maana Mungu aliyefanya ahadi zake ni mwaminifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na tufulize kukiungama kingojeo chetu, tusichoke! Kwani yeye aliyetupa kiagio chake ni mwelekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mlishike sana ungamo la tumaini letu, lisigeuke; maana yeye aliyeahidi ni mwaminifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tuendelee kuchunga lile tumaini tuliloshuhudia bila kuchoka, kwa maana Mungu aliyetupatia ahadi ni mwaminifu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tulishike sana ungamo la tumaini letu, lisigeuke; maana yeye aliyeahidi ni amini;