Hebrews 10:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunahitaji kumfikiria kila mtu kuona jinsi tunavyoweza kuhamasishana kuonesha upendo na kazi njema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuangaliane na kuhimizana sisi kwa sisi katika upendo na katika kutenda mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena tuangaliane, tupate kuhimizana, tupendane kwa kufanya matendo mazuri!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena tushugulikiane kusudi tupate kuvutana sisi kwa sisi kuwa na upendo na kufanya mema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tukaangaliane kiasi cha kusukumana katika upendo na kazi nzuri;