Hebrews 10:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini hayo siyo yanayotokea. Dhabihu zao zinawafanya wazikumbuke dhambi zao kila mwaka,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini dhabihu hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini tambiko hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hivyo vipaji vya tambiko ndivyo vinavyowakumbusha makosa yao mwaka kwa mwaka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa njia ya sadaka zile, watu wanakumbushwa zambi zao kila mwaka,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini katika hizo liko kumbukumbu la dhambi killa mwaka.