Hebrews 10:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mtu wangu aliye mwadilifu ataamini na kuishi; walakini akirudi nyuma, mimi sitapendezwa naye.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na, “Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu aliye sahihi mbele zangu ataishi akiniamini mimi. Lakini sitafurahishwa na yule anayegeuka nyuma kwa ajili ya woga.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini mtu wangu aliye mwadilifu ataamini na kuishi; walakini akirudi nyuma, mimi sitapendezwa naye.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mtu wangu aliye mwadilifu ataamini na kuishi; walakini akirudi nyuma, mimi sitapendezwa naye.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye kama akisitasita sina furaha naye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye kama akisitasita, sina furaha naye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisitasita, roho yangu haina furaha naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mtu wangu aliye mwadilifu ataamini na kuishi; walakini akirudi nyuma, mimi sitapendezwa naye.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwongofu wangu atapata uzima kwa kunitegemea. Lakini atakayerudi nyuma hataipendeza roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisita-sita, roho yangu haina furaha naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye haki mbele yangu ataishi kwa njia ya imani. Lakini kama akirudi nyuma, sitapendezwa naye.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini mwenye haki ataishi kwa imani; nae akisitasita, roho yangu haina furaha nae.