Hebrews 10:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, imeandikwa kunihusu katika kitabu: Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa) Niyafanye mapenzi yako, Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha nikasema, ‘Nipo hapa, Mungu. Imeandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria. Nimekuja kufanya yale unayopenda.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo nikasema: Niko hapa ee Mungu, tayari kufanya mapenzi yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha Sheria.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo niliposema, ‘Tazama niko hapa, kama nilivyoandikiwa katika kitabu, Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo niliposema, ‘Mimi hapa, nimekuja, imeandikwa kunihusu katika kitabu: Nimekuja kuyafanya mapenzi yako, Ee Mwenyezi Mungu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la kitabu nimeandikiwa) Niyafanye mapenzi yako, Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, kutimiza matakwa yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha sheria.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, niliposema: Tazama, ninakuja! Mambo yangu yameandikwa katika kitabu cha kale, niyafanye, uyatakayo wewe, Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo niliposema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa) Niyafanye mapenzi yako, Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nikasema: ‘Niko hapa, ee Mungu, nimekuja kufanya mapenzi yako, kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha Sheria.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo nilisema, Tazama, nimekuja (katika gombo la chuo nimeandikiwa) niyafanye mapenzi yako, Mungu.