Hebrews 11:18 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hata ingawa Mungu alikuwa amemwambia Ibrahimu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naam, yeye aliyeambiwa, Katika Isaka uzao wako utaitwa,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa Mungu alikuwa amemwambia Abrahamu, “Uzao wako utahesabiwa kwa njia ya Isaki,”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa Mwenyezi Mungu alikuwa amemwambia Ibrahimu, “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwa Isaka,”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naam, yeye aliyeambiwa, Katika Isaka uzao wako utaitwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa amevipokea viagio, alivyowekewa kwamba: Wa Isaka ndio watakaoitwa uzao wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naam, yeye aliyeambiwa, Katika Isaka uzao wako utaitwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu alikuwa amemwambia: “Ni kwa njia ya Isaka utapata wazao watakaoitwa wako.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
naam, yeye aliyeamhiwa, Katika Isaak uzao walio utaitwa,