Hebrews 11:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa imani Isaka akawabariki Yakobo na Esau, hata katika habari ya mambo yatakayokuwa baadaye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Isaka akayabariki maisha ya mbeleni ya Yakobo na Esau. Alifanya hivyo kwa sababu alikuwa na imani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa imani Isaki alimbariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa imani Isaka akawabariki Yakobo na Esau, hata kuhusu mambo yatakayokuwa baadaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa imani Isaka aliwabariki Yakobo na Esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kumtegemea Mungu Isaka alimbariki Yakobo na Esau kwa ajili ya mambo, watakayoyaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa imani Isaka akawabariki Yakobo na Esau, hata katika habari ya mambo yatakayokuwa baadaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa njia ya imani, Isaka aliwabariki Yakobo na Esau kuelekea mambo ya siku zitakazokuja.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa imani Isaak akawahariki Yakobo na Esau, hatta katika khabari ya mambo yatakayokuwa baadae.