Hebrews 11:25 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliona ni afadhali kuteseka pamoja na watu wa Mungu kuliko kufurahia raha ya dhambi kwa kitambo kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mungu, kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa muda mfupi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa kitambo;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliona ni afadhali kuteseka pamoja na watu wa Mungu kuliko kufurahia raha ya dhambi kwa kitambo kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliona ni afadhali kuteseka pamoja na watu wa Mungu kuliko kufurahia raha ya dhambi kwa kitambo kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa kitambo kidogo tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akachagua kupata mateso pamoja na watu wa Mwenyezi Mungu kuliko kujifurahisha kwa anasa za dhambi kwa kitambo kidogo tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa muda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliona ni afadhali kuteseka pamoja na watu wa Mungu kuliko kufurahia raha ya dhambi kwa kitambo kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akapendezwa kufanyiziwa maovu pamoja na watu wa Mungu, akayakataa mazuri yaliyopatikana kwa kukosa, maana huishia upesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akaona ni afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika dhambi kwa kitambo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifikiri kwamba ni afazali kuteswa pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha katika zambi kwa muda mufupi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akaona ui afadhali kupata mateso pamoja na watu wa Mungu kuliko kujifurahisha kwa dhambi kitamho;