Hebrews 11:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kuta hizo kwa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa imani kuta za Yeriko zikaanguka, zilipokwisha kuzungukwa siku saba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na kuta za Yeriko zilianguka kwa ajili ya imani ya watu wa Mungu. Walitembea kuuzunguka ukuta kwa siku saba, na kisha kuta zikaanguka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kwa muda wa siku saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kuta hizo kwa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa imani kuta za Yeriko zikaanguka, zilipokwisha kuzungukwa siku saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kuta hizo kwa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, Waisiraeli walivyomtegemea Mungu, maboma ya Yeriko yakaanguka yalipozungukwa siku saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa imani kuta za Yeriko zikaanguka, zilipokwisha kuzungukwa siku saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa njia ya imani, ukuta uliozunguka muji Yeriko ulianguka wakati Waisraeli walipokwisha kuuzunguka kwa muda wa siku saba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa imani kuta za Yeriko zikaanguka, zikiisha kuzungukwa siku saba.