Hebrews 11:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa imani Rahabu aliyekuwa malaya hakuangamia pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa imani Rahabu, yule kahaba, hakuangamia pamoja na hao walioasi; kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi kwa amani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na Rahabu, yule kahaba, aliwakaribisha wapelelezi wa Kiisraeli kama marafiki. Na kwa sababu ya imani yake, hakuuawa pamoja na wale waliokataa kutii.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa imani Rahabu aliyekuwa malaya hakuangamia pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa imani Rahabu aliyekuwa malaya hakuangamia pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mwenyezi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa imani Rahabu, yule kahaba, hakuangamia pamoja na hao walioasi; kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi kwa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa imani Rahabu aliyekuwa malaya hakuangamia pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha wale wapelelezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kumtegemea Mungu Rahabu, angawa alikuwa mwanamke mgoni, hakuangamia pamoja na wale wasiotii, maana wale wapelelezi aliwapokea na kuwatuliza mioyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa imani Rahabu, yule kahaba, hakuangamia pamoja na hao walioasi; kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi kwa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa njia ya imani, Rahaba, yule kahaba, hakuangamia pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha wapelelezi kwa amani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa imani Rahab, yule kahaba, hakuangamia pamoja nao walioasi; kwa kuwa aliwakaribisha wapelelezi kwa amani.