Hebrews 11:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hawa wote walionekana kuwa mashujaa kwa sababu ya imani yao. Hata hivyo, hawakupokea yale ambayo Mungu aliwaahidi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa wote walishuhudiwa vyema kwa sababu ya imani yao, lakini hakuna hata mmoja wao aliyepokea yale yaliyoahidiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu hao wote wakiisha kushuhudiwa kwa sababu ya imani yao, hawakuipokea ahadi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu alifurahishwa nao wote kwa sababu ya imani zao. Lakini hakuna hata mmoja wao aliyepokea ahadi ya Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu hawa wote walionekana kuwa mashujaa kwa sababu ya imani yao. Hata hivyo, hawakupokea yale ambayo Mungu aliwaahidia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hawa wote walionekana kuwa mashujaa kwa sababu ya imani yao. Hata hivyo, hawakupokea yale ambayo Mungu aliwaahidi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa wote walishuhudiwa vyema kwa sababu ya imani yao, lakini hakuna hata mmoja wao aliyepokea yale yaliyoahidiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa wote walishuhudiwa vyema kwa sababu ya imani yao, lakini hakuna hata mmoja wao aliyepokea yale yaliyoahidiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu hao wote wakiisha kushuhudiwa kwa sababu ya imani yao, hawakuipokea ahadi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hawa wote walionekana kuwa mashujaa kwa sababu ya imani yao. Hata hivyo, hawakupokea yale ambayo Mungu aliwaahidi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao wote walipoteseka, ndipo, walipotimiza kumtegemea Mungu, lakini hawakuona, kiagio kilivyotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu hao wote wakiisha kushuhudiwa kwa sababu ya imani yao, hawakuipokea ahadi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hawa wote walishuhudiwa vizuri na Mungu kwamba wamemupendeza kwa njia ya imani yao. Lakini hawakupokea mambo yale Mungu aliyowaahidia,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na watu hawa wote wakiisha kushuhudiwa kwa sababu ya imani yao, hawakuipokea ahadi: