Hebrews 12:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwani hawakuweza kustahimili amri iliyotolewa: “Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu hawangeweza kustahimili neno lile lililoamriwa: “Hata mnyama akigusa mlima huu, atapigwa mawe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana hawakuweza kustahimili neno lile lililoamriwa, Hata mnyama akiugusa huo mlima atapigwa kwa mawe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hawakutaka kusikia amri: “Kama chochote, hata mnyama, akigusa mlima, lazima kiuawe kwa kupigwa mawe.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwani hawakuweza kustahimili amri iliyotolewa: “Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwani hawakuweza kustahimili amri iliyotolewa: “Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu wasingeliweza kustahimili neno lile lililoamriwa: “Hata kama mnyama atagusa mlima huu, atapigwa mawe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu hawangeweza kustahimili neno lile lililoamriwa: “Hata kama mnyama atagusa mlima huu, atapigwa mawe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana hawakuweza kustahimili neno lile lililoamriwa, Hata mnyama akiugusa huo mlima atapigwa kwa mawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwani hawakuweza kustahimili amri iliyotolewa: “Atakayegusa mlima huu, hata kama ni mnyama, atapigwa mawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hawakuweza kulipokea lile agizo la kwamba: Hata nyama atakayeugusa mlima auawe kwa kupigwa mawe au kwa kuchomwa mikuki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana hawakuweza kustahimili neno lile lililoamriwa, Hata mnyama akiugusa huo mlima atapigwa kwa mawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu hawakuweza kuvumilia agizo walilotolewa: “Hata nyama akigusa mulima anapaswa kuuawa kwa kutupiwa mawe.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta nyama akiugusa mlima atapigwa mawe au atachomwa kwa mkuki.