Hebrews 12:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Bwana humpa nidhamu kila anayempenda, humwadhibu kila anayekubali kuwa mwanawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda, na humwadhibu kila mmoja anayemkubali kuwa mwana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi, Naye humpiga kila mwana amkubaliye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bwana humrekebisha kila anayempenda; humpa adhabu kila anayemkubali kama mwana wake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Bwana humwadhibu kila anayempenda, humpinga kila anayekubali kuwa mwanae.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Bwana humpa nidhamu kila anayempenda, humwadhibu kila anayekubali kuwa mwanawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao, na humwadhibu kila mmoja anayemkubali kuwa mtoto wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale awapendao, na humwadhibu kila mmoja anayemkubali kuwa mwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi, Naye humpiga kila mwana amkubaliye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Bwana humpa nidhamu kila anayempenda, humwadhibu kila anayekubali kuwa mwanawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana humchapa anayempenda, naye humpiga kila mwana, anayempokea.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi, Naye humpiga kila mwana amkubaliye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana, Bwana anamwazibu yule anayemupenda, yeye anamupiga kila mutu anayemukubali kuwa mutu wake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana yeye ambae Bwana humpenda, humrudi, Nae humpiga killa mwana amkubaliye.