Hebrews 12:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kwa ajili ya kurudiwa mwastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyerudiwa na babaye?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo muyapokee mateso kama adhabu ya baba. Mungu hufanya mambo haya kwenu kama baba anavyowarekebisha watoto wake. Mnajua kuwa watoto wote hurekebishwa na baba zao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea ninyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kwa ajili ya kurudiwa mnastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyeonywa na babaye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vumilieni, mwonyeke! Mungu huwatunza kama wanawe. Kwani ni mwana gani, baba yake asiyempiga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kwa ajili ya kurudiwa mwastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyerudiwa na babaye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muvumilie maadibisho; kwa maana Mungu anawatendea ninyi kama wana wake. Tena, ni mwana gani asiyeazibiwa na baba yake?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ni kwa ajili ya kurudiwa mwavumilia; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiorudiwa na baba yake.