Hebrews 13:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tuna madhabahu ambayo wale waihudumiao ile hema hawana ruhusa kula vitu vyake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunayo sadaka. Na wale makuhani waliotumika ndani ya Hema Takatifu hawawezi kula sadaka tuliyo nayo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi, hawana haki ya kula vitu vyake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaohudumu katika hema hawana haki ya kula vile vitu vilivyowekwa juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tuna madhabahu ambayo wale waihudumiayo ile hema hawana ruhusa kula vitu vyake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi hawana haki ya kula vitu vyake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sisi tunapo petu pa kutolea vipaji vya tambiko, napo ni penye mwiko wa kuvila kwao watambikiao Hemani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tuna madhabahu ambayo wale waihudumiao ile hema hawana ruhusa kula vitu vyake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sisi tuko na mazabahu yetu, nao makuhani Wayuda wanaotumika katika Pahali Patakatifu hawana ruhusa ya kula sehemu ya vitu vinavyotolewa sadaka juu ya mazabahu ile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tuna madhbahu ambayo wale waikhudumiao khema bawana rukhusa kula vitu vyake.