Hebrews 13:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na nawasihi muombe ili Mungu anirudishe tena kwenu mapema. Nalitamani sana hili kuliko kitu chochote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninawasihi zaidi mniombee ili nipate kurudishwa kwenu upesi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawasihi sana mniombee ili Mungu anirudishe kwenu upesi iwezekanavyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nakaza kuwahimiza, mfanye hivyo, nirudishwe kwenu upesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nawasihi zaidi sana kufanya hayo ili nirudishwe kwenu upesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawasihi sana kuomba Mungu, kusudi nipate kurudishwa kwenu upesi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami nawasihini zaidi sana kufanya hayo illi nirudishwe kwenu upesi.