Hebrews 13:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wasalimuni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasalimuni wote wenye kuwaongoza, na watakatifu wote; hao walio wa Italia wanawasalimu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Fikisheni salama zangu kwa viongozi wote na kwa watu wote wa Mungu. Wote walioko Italia wanawasalimuni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wasalimieni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wasalimuni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasalimuni viongozi wenu wote na watakatifu wote. Wale wa kutoka Italia wanawasalimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasalimuni viongozi wenu wote, na watakatifu wote; hao walio wa Italia wanawasalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wasalimuni viongozi wenu wote pamoja na watu wa Mungu! Ndugu wa Italia wanawasalimuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisalimieni wote wawaongozao na watakatifu wote! Nao wenzetu wa Italia wanawasalimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasalimuni wote wenye kuwaongoza, na watakatifu wote; hao walio wa Italia wanawasalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muwasalimie waongozi wenu wote na watu wote wa Mungu. Wandugu wa Italia wanawasalimia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wasalimuni wote walio na mamlaka juu yenu, na watakatifu wote; walio wa Italia wanakusalimuni.