Hebrews 13:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. Mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndoa iheshimiwe na kila mmoja. Na kila ndoa itunzwe kwa usafi kati ya mume na mke. Mungu atawahukumu kuwa na hatia wale wanaofanya uzinzi na uasherati.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. Mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. Mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. Mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unyumba sharti uheshimiwe nao wote, hapo penye kitanda chao wanyumba pasifanywe chochote chenye uchafu. Kwani Mungu atawahukumu wagoni na wazinzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, mume na muke wake wanapaswa kujikinga na uchafu, kwa sababu Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndoa iheshimiwe na watu wote, na malalo yawe safi: kwa maana waasharati na wazinzi Mungu atawahukumu.