Hebrews 2:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye anasema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Anasema, “Mungu, nitawaeleza kaka na dada zangu habari zako. Mbele za watu wako wote nitaziimba sifa zako.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawatangazia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye husema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye husema, “Nitalitangaza jina lako kwa ndugu zangu; mbele ya kusanyiko nitaimba sifa zako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akisema, Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu; Katikati ya kanisa nitakuimbia sifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama asemavyo: “Ee Mungu, nitawasimulia ndugu zangu matendo yako. Nitakusifu katika kusanyiko lao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawasimulia ndugu zangu mambo ya Jina lako, nitakuimbia wewe katikati yao walio wateule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akisema, Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu; Katikati ya kanisa nitakuimbia sifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana anasema: “Ee Mungu, nitatangaza jina lako kwa wandugu zangu, nitakusifu katikati ya mukutano.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akinena, Nitalikhubiri jina lako kwa ndugu zangu; kati kati ya kanisa nitakuimba,