Hebrews 2:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na, anaweza sasa kuwasaidia wale wanaojaribiwa na kuteswa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa yeye mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wale wanaojaribiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa kuwa mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wao wanaojaribiwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa anaweza kuwasaidia wale wanaojaribiwa. Yuko radhi kuwasaidia kwa sababu yeye mwenyewe aliteseka na alijaribiwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na, anaweza sasa kuwasaidia wale wanaojaribiwa na kuteswa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na, anaweza sasa kuwasaidia wale wanaojaribiwa na kuteswa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa yeye mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wale wanaojaribiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa yeye mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wale wanaojaribiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa kuwa mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wao wanaojaribiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na, anaweza sasa kuwasaidia wale wanaojaribiwa na kuteswa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa hivyo, alivyoteseka na kujaribiwa mwenyewe, anaweza kuwasaidia wanaojaribiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa kuwa mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wao wanaojaribiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa sababu yeye mwenyewe alijaribiwa na kuteswa, anaweza kuwasaidia wale wanaojaribiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kwa kuwa aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wao wanaojaribiwa.