Hebrews 2:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena, ila mtu mmoja ameshuhudia hivi mahali fulani, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu hakuwachagua malaika wawe watawala juu ya ulimwengu mpya unaokuja. Ulimwengu huo ujao ni ndiyo ambao tumekuwa tukiuzungumzia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenyezi Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena, ila mtu mmoja ameshuhudia hivi mahali fulani, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hakuwaweka malaika wautawale ulimwengu ujao, yaani ulimwengu ule tunaoongea habari zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani malaika sio, aliowapa kuutawala ulimwengu utakaokuja, tunaousema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena, ila mtu mmoja ameshuhudia hivi mahali fulani, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu hakuwapa wamalaika uwezo wa kutawala ulimwengu unaokuja, ndio ule tunaosema juu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana hakuuweka chini ya malaika ulimwengu ule ujao tunaounena,