Hebrews 2:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji la utukufu na heshima,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji ya utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa muda mfupi ulimfanya awe chini kuliko malaika. Ukamvisha taji yenye utukufu na heshima.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ulimfanya kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umemfanya kuwa chini kidogo kuliko malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji la utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulimfanya tu kidogo kuwa chini ya malaika; umemvika taji ya utukufu na heshima,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulimpunguza kidogo, asilingane na malaika, ukamvika kilemba chenye utukufu na macheo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, Umemvika taji ya utukufu na heshima, Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umemufanya kuwa mwenye cheo chini kidogo ya malaika. Umemujaza utukufu na heshima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Umemfanya mdogo punde kuliko malaika, umemvika taji ya utukufu na heshima, umemweka jua ya kazi za mikono yako;