Hebrews 3:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maandiko yasema hivi: “Kama mkisikia sauti yake leo, msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ilivyonenwa: “Leo, mkiisikia sauti yake, msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hapo inenwapo, Leo, kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo sababu Roho anasema: “Kama leo mtaisikia sauti ya Mungu, msiifanye migumu mioyo yenu kama hapo zamani, wakati mlipogeuka mbali na Mungu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maandiko yasema hivi: “Kama mkisikia sauti ya Mungu leo, msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maandiko yasema hivi: “Kama mkisikia sauti yake leo, msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ilivyonenwa: “Leo, kama mtaisikia sauti yake, msifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ilivyonenwa: “Leo, kama mkiisikia sauti yake, msiifanye mioyo yenu migumu kama mlivyofanya wakati wa kuasi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama inenwavyo, Leo, kama mtaisikia sauti yake, Msifanye mioyo yenu kuwa migumu, Kama wakati wa kuasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maandiko yasema hivi: “Kama mkisikia sauti yake leo, msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Paliposemwa: Leo, mtakapoisikia sauti yake, msiishupaze mioyo yenu kama hapo, mioyo ilipokuwa yenye uchungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hapo inenwapo, Leo, kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maandiko Matakatifu yanasema: “Leo ikiwa munasikiliza sauti ya Mungu, musifanye mioyo yenu kuwa migumu kama babu zenu walivyofanya wakati walipomwasi Mungu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hapo inenwapo, Leo, kama mtasikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu kama wakati wa kunikasirisha.