Hebrews 3:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni akina nani waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ni nani waliosikia lakini bado wakaasi? Je, si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ni akina nani waliokasirisha, waliposikia? Si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni nani hawa walioisikia sauti ya Mungu na kugeuka kinyume naye? Walikuwa watu wote ambao Musa aliwaongoza kutoka Misri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni akina nani basi, waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni akina nani waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi ni nani wale waliosikia lakini bado wakaasi? Je, si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Mose?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi ni nani waliosikia lakini bado wakaasi? Je, si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ni akina nani walioasi, waliposikia? Si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni akina nani waliosikia sauti ya Mungu wakamwasi? Ni wale wote walioongozwa na Mose kutoka Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo walioyasikia na kupata mioyo yenye uchungu walikuwa akina nani? Sio hao wote waliotoka Misri wakiongozwa na Mose?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ni akina nani waliokasirisha, waliposikia? Si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni watu gani waliosikia maneno ya Mungu na kumwasi? Si wale wote walioongozwa na Musa toka katika inchi ya Misri?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ni nani waliomkasirisha, waliposikia? Si wale wote waliotoka katika Misri wakiongozwa na Musa?