Hebrews 3:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi twaona ya kuwa hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo tunaona kuwa hawakuruhusiwa kuingia na kupata pumziko la Mungu, kwa sababu hawakuamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi twaona ya kuwa hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutoamini kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, twaona kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nasi twaona, ya kuwa hawakuweza kuingia, kwa sababu hawakumtegemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi twaona ya kuwa hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwenye mapumziko yale kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi twaona ya kuwa bawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.