Hebrews 3:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti yake leo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, kama Roho wa Mungu asemavyo: “Leo, mkiisikia sauti yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mtaisikia sauti yake,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni kama vile anavyosema Roho Mtakatifu: “Kama leo mtaisikia sauti ya Mungu,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti ya Mungu leo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti yake leo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: “Leo, kama mkiisikia sauti yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, kama Roho wa Mwenyezi Mungu asemavyo: “Leo, kama mkiisikia sauti yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mkisikia sauti yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, basi, kama asemavyo Roho Mtakatifu: “Kama mkisikia sauti yake leo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo fanyeni, kama Roho Mtakatifu anavyosema: Leo, mtakapoisikia sauti yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu, Leo, kama mtaisikia sauti yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, kama vile Roho Mutakatifu anavyosema: “Leo ikiwa munasikiliza sauti ya Mungu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo, kama anenavyo Robo Mtakatifu, Leo, kama mtasikia sauti yake,