Hebrews 3:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
msiifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha, Siku ya kujaribiwa katika jangwa,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
msiifanye migumu mioyo yenu kama hapo zamani, mlipomgeuka Mungu. Hiyo ndiyo siku ulipomjaribu Mungu mle jangwani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
msiifanye mioyo yenu kuwa migumu kama wazee wenu walivyokuwa wakati walipomwasi Mungu; kama walivyokuwa siku ile kule jangwani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
msifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
msiifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msifanye mioyo yenu kuwa migumu, Kama wakati wa kuasi, Siku ya kujaribiwa katika jangwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
msiishupaze mioyo yenu, kama hapo, mioyo ilipokuwa yenye uchungu, siku ile ya kujaribiwa kule nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha, Siku ya kujaribiwa katika jangwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
musifanye mioyo yenu kuwa migumu kama babu zenu walivyofanya wakati walipomwasi Mungu, sawa siku ile walipomupima katika jangwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
msifanye migumu mioyo yenu, kama wakati wa kunikasirisha, siku ya kujaribiwa katika jangwa,