Hebrews 3:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima, ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameyaona matendo yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arobaini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa miaka 40 jangwani, watu wako wakaona niliyoyatenda. Lakini walinijaribu na ustahimilivu wangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, asema Bwana, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu kwa miaka arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pale baba zenu waliponijaribu na kunipima ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameona matendo yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima ingawa kwa miaka arobaini walikuwa wameyaona matendo yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, ingawa walishuhudia matendo yangu kwa miaka arubaini!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, baba zenu waliponijaribu na kunipima, tena walikuwa wameyaona matendo yangu miaka arobaini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, Wakaona matendo yangu miaka arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule babu zenu walinipima na kunijaribia, ingawa walikuwa wameona yote niliyotenda kwa muda wa miaka makumi ine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, wakaona matendo yangu miaka arubaini.