Hebrews 4:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena jambo hili lasemwa pia: “Hawataingia mahali pangu pa pumziko.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena hapo awali amesema, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hapa napo, Hawataingia rahani mwangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini katika Maandiko ya hapo juu Mungu alisema, “Hawataingia kamwe katika sehemu yangu ya pumziko.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena jambo hili lasemwa pia: “Hawataingia huko ambako ningewapa pumziko.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena jambo hili lasemwa pia: “Hawataingia mahali pangu pa pumziko.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena hapo juu asema, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena hapo juu asema, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na tena kunena hapa napo, Hawataingia pumzikoni mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena jambo hili lasemwa pia: “Hawataingia mahali pangu pa pumziko.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo pale alisema: Hawataingia kamwe kwenye kituo changu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hapa napo, Hawataingia rahani mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na tena, katika Maandiko tuliyotaja hapa juu, Mungu anasema: “Hawataingia hata kidogo kwenye mapumziko niliyowatayarishia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na hapa napo, Hawataingia katika raha yangu.