Hebrews 4:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, basi, bado kuna kupumzika kwa watu wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii inaonesha kuwa pumziko la siku ya saba kwa watu wa Mungu bado linakuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo, basi, bado lipo pumziko kwa watu wa Mungu kama kule kupumzika kwake Mungu siku ya saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, basi, bado kuna kupumzika kwa watu wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, limesalia pumziko la sabato kwa watu wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, basi, bado kuna kupumzika kwa watu wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kwa hiyo twasema: Liko pumziko, watu wa Mungu walilowekewa bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo kungali mapumziko ambayo Mungu anawatayarishia watu wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, imesalia hali ya raha kwa watu wa Mungu.