Hebrews 5:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia mahali pengine asema, “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama asemavyo mahali pengine,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na katika sehemu nyingine ya Maandiko Mungu anasema: “Wewe ni kuhani mkuu milele; kama Melkizedeki alivyokuwa kuhani.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia mahali pengine asema, “Wewe ndiwe kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia mahali pengine asema, “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama asemavyo mahali pengine, Ndiwe kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisema pia mahali pengine: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo anavyosema hata pengine: Wewe u mtambikaji wa kale na kale, kama Melkisedeki alivyokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama asemavyo mahali pengine, Ndiwe kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile alisema pahali pengine katika Maandiko: “Wewe ni kuhani hata milele kwa mufano wa Melkisedeki.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kama asemavyo mahali pengine, Wewe u Kuhani milele Kwa mfano wa daraja la Melkizedeki.