Hebrews 6:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ibrahimu akangoja kwa uvumilivu hili litimie, na baadaye akapokea kile Mungu alichoahidi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo alipokea kile alichoahidiwa na Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye baada ya kungoja kwa saburi, Abrahamu alipokea kile kilichoahidiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abrahamu alisubiri kwa uvumilivu na hivyo akapokea kile alichoahidiwa na Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipovumilia akaona, kiagio kilivyotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi kisha kungojea kwa uvumilivu, Abrahamu akapokea yale Mungu aliyomwahidi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hivyo kwa kuvumilia akaipata ile ahadi.