Hebrews 6:5 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuonja wema wa neno la Mungu na nguvu za ulimwengu ujao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao wameonja uzuri wa neno la Mungu na nguvu za wakati ujao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
walikwisha onja wema wa neno la Mungu na nguvu za ulimwengu ujao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuonja wema wa neno la Mungu na nguvu za ulimwengu ujao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao wameonja uzuri wa Neno la Mungu na nguvu za wakati ujao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za wakati ujao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuonja wema wa neno la Mungu na nguvu za ulimwengu ujao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na kulionja Neno la Mungu lililo zuri na kuzionja nguvu za siku zitakazokuja,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wanapokwisha kuonja wema wa Neno la Mungu na nguvu za ulimwengu utakaokuja,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo,