Hebrews 6:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ardhi ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali ikitoa miiba na magugu hukataliwa na kuwa karibu na laana; ambayo mwisho wake ni kuteketezwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini watu wengine wako kama ardhi ambayo huzalisha miiba na magugu tu. Haifai na iko katika hatari ya kulaaniwa na Mungu. Itateketezwa kwa moto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini kama ardhi hiyo ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ardhi ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ardhi ile ikizaa miiba na mibaruti haina thamani na iko hatarini kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ardhi ikizaa miiba na mibaruti, haina thamani na iko hatarini ya kulaaniwa. Mwisho wake ni kuchomwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali ikitoa miiba na magugu hukataliwa na kuwa karibu na laana; ambayo mwisho wake ni kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ardhi ikiota miti ya miiba na magugu, haina faida; karibu italaaniwa na Mungu na mwisho wake ni kuchomwa moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ikizaa miiba na mibigili haifai tena, ikafikia kuapizwa, nayo mwisho huteketea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali ikitoa miiba na magugu hukataliwa na kuwa karibu na laana; ambayo mwisho wake ni kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama ukitoa miiba na magugu, udongo ule haufai kitu nao uko karibu ya kulaaniwa na Mungu, tena mwisho wake ni kuteketezwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali ikitoa miiba ua magugu hukataliwa na kuwa karibu na laana; mwisho wake ni kuteketea.