Hebrews 7:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Lawi hakuwa amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu Melkizedeki alipokutana na Ibrahimu, Lawi alikuwa bado katika viuno vya baba yake wa zamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa maana alikuwa katika viuno vya baba yake, hapo Melkizedeki alipokutana naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lawi alikuwa bado hajazaliwa, lakini alikuwepo katika baba yake Ibrahimu wakati Melkizedeki alipokutana naye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Lawi hakuwa amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Lawi hakuwa amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu Melkizedeki alipokutana na Abrahamu, Lawi alikuwa bado katika viuno vya baba yake wa zamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu Melkizedeki alipokutana na Ibrahimu, Lawi alikuwa bado katika viuno vya baba yake wa zamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa maana alikuwa katika viuno vya baba yake, hapo Melkizedeki alipokutana naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Lawi hakuwa amezaliwa bado, bali ni kama alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alikuwa kiunoni mwa babu yake, Melkisedeki alipokutana naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa maana alikuwa katika viuno vya baba yake, hapo Melkizedeki alipokutana naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ingawa Lawi alikuwa hajazaliwa bado, alikuwa yuko ndani ya damu ya babu yake Abrahamu, wakati Melkisedeki alipokutana naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa maana alikuwa katika viuno vya bada yake Ibrahimu, hapo Melkizedeki alipokutana nae.