Hebrews 7:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ukuhani ukibadilika, ni lazima sheria nayo ibadilike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa ukuhani ukibadilika, lazima sheria nayo ibadilike.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ukuhani ule ukibadilika, hapana budi sheria nayo ibadilike.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na anapokuja kuhani wa aina nyingine, basi sheria pia inabidi ibadilishwe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana ukuhani ukibadilika ni lazima Sheria nayo ibadilike.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ukuhani ukibadilika, ni lazima sheria nayo ibadilike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa yanapotokea mabadiliko ya ukuhani, pia lazima yawepo mabadiliko ya sheria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa yanapotokea mabadiliko ya ukuhani, pia lazima yawepo mabadiliko ya sheria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ukuhani ule ukibadilika, hapana budi sheria nayo ibadilike.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ukuhani ukibadilika, ni lazima sheria nayo ibadilike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani utambikaji unapogeuzwa, hapo sharti Maonyo nayo yageuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ukuhani ule ukibadilika, hapana budi sheria nayo ibadilike.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana wakati ukuhani unapobadilika, Sheria nayo inapaswa kubadilika vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ukuhani ule ukihadilika, hapana buddi sharia nayo ibadilike.