Hebrews 7:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: Kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki amekwisha tokea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine mithili ya Melkizedeki;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na mambo haya yalizidi kuwa wazi zaidi tunapomwona kuhani mwingine aliye kama Melkizedeki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki amekwisha tokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki amekwisha tokea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena hayo tuliyosema yako wazi zaidi kama akitokea kuhani mwingine kama Melkizedeki,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine kama Melkizedeki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: Kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki amekwisha tokea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena huelekea kabisa: Pakiinuka mtambikaji mwingine anayefanana na Melkisedeki,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine mithili ya Melkizedeki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena jambo hili linaloonyesha wazi zaidi maneno haya: kumetokea kuhani mwingine anayefanana na Melkisedeki.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena hayo tusemayo ni dhahiri sana zaidi, ikiwa ametokea kuhani mwingine kwa mfano wa Melkizedeki;