Hebrews 7:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana ameshuhudiwa kwamba, Wewe u kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivi ndivyo Maandiko yanavyosema kumhusu yeye: “Wewe ni kuhani milele, kama alivyokuwa Melkizedeki.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ndiye kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana imeshuhudiwa kwamba: “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana ameshuhudiwa kwamba, Wewe u kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Maandiko yasema: “Wewe ni kuhani milele, kwa utaratibu wa ukuhani wa Melkisedeki.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani unashuhudiwa kwamba: Wewe u mtambikaji wa kale na kale, kama Melkisedeki alivyokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana ameshuhudiwa kwamba, Wewe u kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Maandiko Matakatifu yanashuhudia: “Wewe ni kuhani kwa milele kwa mufano wa Melkisedeki.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana ashuhudu, kwamba, Wewe u kuliani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki.