Hebrews 7:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zaidi ya hayo, hapa pana kiapo cha Mungu. Wakati wale wengine walipofanywa makuhani hapakuwako kiapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nalo tumaini hilo halikutolewa pasipo kiapo! Wengine walikuwa makuhani pasipo kiapo chochote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa kuwa haikuwa pasipo kiapo,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Vile vile, ni muhimu kwamba Mungu aliweka ahadi kwa kiapo alipomfanya Yesu kuwa kuhani mkuu. Watu hawa wengine walipofanyika makuhani, hapakuwepo kiapo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zaidi ya hayo hapa pana kiapo cha Mungu. Wakati wale wengine walipofanywa makuhani hapakuwako kiapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zaidi ya hayo, hapa pana kiapo cha Mungu. Wakati wale wengine walipofanywa makuhani hapakuwako kiapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nalo tumaini hilo halikutolewa pasipo kiapo! Wengine walikuwa makuhani pasipo kiapo cho chote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nalo tumaini hilo halikutolewa pasipo kiapo! Wengine walikuwa makuhani pasipo kiapo chochote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa kuwa haikuwa pasipo kiapo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zaidi ya hayo, hapa pana kiapo cha Mungu. Wakati wale wengine walipofanywa makuhani hapakuwako kiapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hivi havikufanyika pasipo kiapo: kwani wale wengine waliupata utambikaji pasipo kiapo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa kuwa haikuwa pasipo kiapo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaidi ya hii, mambo yale yalifanyika kufuatana na kiapo cha Mungu. Wale makuhani wengine wa uzao wa Lawi waliwekwa kwa kazi yao pasipo kiapo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kwa kuwa haikuwa pasipo kiapo,