Hebrews 7:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, wala hatabadili nia yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini Isa alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alimwambia: “Mwenyezi Mungu ameapa, naye hatabadilisha mawazo yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; bali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu akafanyika kuhani kwa kiapo cha Mungu. Mungu alimwambia: “Bwana anaweka ahadi kwa kiapo naye hatabadili mawazo yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, wala hataigeuza nia yake: Wewe ni kuhani milele.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, wala hatabadili nia yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini Yesu alikuwa Kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “BWANA ameapa naye hatabadili nia yake: ‘Wewe ndiwe Kuhani milele.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini Isa alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mwenyezi Mungu alimwambia: “ bwana Mwenyezi ameapa naye hatabadilisha mawazo yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; bali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe u kuhani milele;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu alifanywa kuhani kwa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, wala hatabadili nia yake: ‘Wewe ni kuhani milele.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini huyu aliupata, yeye Mungu akiapa na kujitaja alipomwambia: Bwana aliapa, naye hatajuta: Wewe u mtambikaji wa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; bali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe u kuhani milele;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu amewekwa kuwa kuhani kwa njia ya kiapo, wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa, naye hatageuka: ‘Wewe ni kuhani kwa milele.’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
(maana wale walifanywa makuhani pasipo kiapo; hali yeye, pamoja na kiapo, kwa yeye aliyemwambia, Bwana ameapa wala hataghairi, Wewe kuhani hatta milele kwa daraja la Melkizedeki;)