Hebrews 7:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kutokana na tofauti hii, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya kiapo hiki, Isa amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo hii inamaanisha kwamba Yesu ni uhakika wa agano zuri zaidi kutoka kwa Mungu kwa ajili ya watu wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, kutokana na tofauti hii, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kutokana na tofauti hii, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya kiapo hiki, Yesu amekuwa mdhamini wa Agano lililo bora zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya kiapo hiki, Isa amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kutokana na tofauti hii, Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo Yesu ni mtimizaji wa agano lililo kuu kulipita lile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ya kiapo hiki, Yesu amekuwa kihakikisho kwetu cha agano linalokuwa zuri zaidi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bassi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo hora zaidi.