Hebrews 7:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena: Hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea na kazi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi kumekuwa na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na mauti wasikae;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia, mmoja wa hawa makuhani wengine alipofariki, asingeendelea kuwa kuhani. Hivyo walikuwepo makuhani wengi wa jinsi hii.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kuna tofauti nyingine pia: hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea na kazi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena: hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea na kazi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi pamekuwepo na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi pamekuwepo na makuhani wengi wa aina hiyo, kwa kuwa kifo kiliwazuia kuendelea na huduma yao ya ukuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu walizuiliwa na mauti wasikae;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena: Hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea na kazi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale ni wengi waliokuwa watambikaji, kwa sababu kufa kuliwazuia, wasikae.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na mauti wasikae;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna tofauti ingine vilevile: wale makuhani wengine walipaswa kuwa wengi, kwa sababu walikuwa wakikufa hawakuweza kuendelea na kudumu katika kazi yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena wale walifanywa makuhani wengi, kwa sababu wazuiliwa na manti wasikae;