Hebrews 7:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu anaishi milele. Hatakoma kufanya kazi kama kuhani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini kwa sababu Yesu anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa sababu Isa anaishi milele, anao ukuhani wa kudumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali yeye, kwa kuwa anakaa milele, anao ukuhani wake usioondoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini huyu anao utambikaji usiopokezanwa, kwa sababu anakaa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu hawezi kukombolewa kwa kazi yake ya ukuhani, kwa sababu yeye anaishi kwa milele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
hali yeye, kwa kuwa akaa milele, ana ukuhani usioondoka.